Kadi nzuri za kidijitali. Bila Stress.
Achana na kadi za karatasi, orodha za wageni zilizovurugika, na changamoto za makusanyo. Tumia mfumo wa kisasa wa kidijitali ulioundwa kwa ajili ya matukio ya Kitanzania.
Kila kitu unachohitaji kwa ajili ya tukio bora
Kuanzia kadi za kuvutia hadi ufuatiliaji wa wageni kwa wakati halisi. Mfumo mmoja, bila usumbufu.
Kadi za Kidijitali
Templates nzuri zenye vionjo vya utamaduni wetu. Tuma kupitia WhatsApp, SMS, au barua pepe. Hakuna gharama za uchapishaji.
QR Code ya Kuingilia
Kila mgeni anapata QR code yake ya kipekee. Scan mlangoni wakati wa kuingia. Hakuna kadi feki wala mivutano mlangoni.
Usimamizi wa Wageni
Fuatilia waliodhibitisha (RSVP), simamia wageni maalum (VIP), na ona wanaoingia kwa wakati halisi. Pata ripoti wakati wowote.
Mahudhurio ya Moja kwa Moja
Dashibodi ya wakati halisi ikionyesha nani ameingia, saa ngapi, na hadhi yake. Uwazi kwa kamati nzima.
Jumbe kutumwa automatic
Kumbusho kutumwa automatic, ufuatiliaji wa Wahudhuriaji, na ujumbe wa shukrani. Weka mfumo ufanye kazi yenyewe.
Urahisi wa Kurekebisha
Chagua muonekano wa Kadi, badili maandishi. Huhitaji utaalamu wa kudesign.
Kutoka vurugu hadi utulivu kwa hatua 4 tu
Acha kuhangaika na makaratasi na magrupu ya WhatsApp. Jipange kwa dakika chache.
Sajili Sherehe
Chagua template, weka maelezo yako, na urekebishe kadi yako kwa dakika chache.
Alika Wageni
Tuma kadi kupitia WhatsApp, SMS, au barua pepe. Kila mgeni anapata QR code yake ya kipekee.
Fuatilia & Kusanya
Ona wanaothibitisha kuja, simamia michango kupitia MKEKA, na fuatilia kila kitu mubashara.
Simamia kwa Utulivu
Scan QR code mlangoni, fuatilia mahudhurio mubashara, na ufurahie sherehe yako bila stress.
Fuatilia makusanyo yako kisasa wakati wowote.
Hakuna changamoto za mikeka ya whatsapp tena. Hakuna makaratasi yaliyopotea. Hakuna mkanganyiko wa "nani amelipa nini?". MKEKA inaleta urahisi katika michango ya sherehe yako.
Fuatilia Ahadi & Malipo
Ona nani ameahidi, kiasi gani, na nani ameshalipa mara moja.
Maendeleo ya Papo kwa Papo
Ona makusanyo yakiongezeka kwa ripoti za moja kwa moja na grafu za maendeleo.
Kumbusho za automatic
Kumbusho kirafiki kwa waliobakiza malipo wakikumbushwa kiwango ambacho bado. Hakuna haja ya kupigiana simu za aibu.
Jumla ya Makusanyo
TZS 12,450,000
Lengo (Target)
TZS 15,000,000
83% ya lengo imefikiwa
John Mwamba
Ahadi: TZS 500,000
Anna Mushi
Ahadi: TZS 300,000
Peter Kimaro
Ahadi: TZS 200,000
Malipo mapya
+TZS 150,000
Inapendwa na familia kote Tanzania
Ona maoni ya waandaaji waliofanikisha sherehe zao bila stress.
"Harusi yetu ilikuwa na wageni 500. Kupitia WitoPlus, tulijua nani ameingia na saa ngapi. Scanner ya QR ilikuwa rahisi sana—hakuna vurugu mlangoni!"
Grace & David
Harusi, Dar es Salaam
"MKEKA ilibadilisha kila kitu. Tulikusanya 40% zaidi ya sherehe zilizopita kwa sababu tuliweza kufuatilia ahadi kwa urahisi zaidi."
Mama Neema
Kamati ya Kitchen Party
"Kadi za kidijitali zilikuwa za kitaalamu sana. Wageni wangu walikuwa wananiuliza nani amedesign. Tuliepuka gharama za kadi na zilikuwa nzuri zaidi!"
James Mwakasege
Sherehe ya Birthday
Bei rahisi na ya wazi
Lipa kwa kadi. Kadiri unavyopata kadi nyingi, ndivyo unavyookoa zaidi.
Kawaida
Chini ya kadi 100
- Mpaka vikumbusho 3
- Ujumbe 1 wa shukrani
- QR Code ya mgeni
- Uthibitisho wa RSVP
- Michango ya MKEKA
Premium
Kadi 101 - 300
- Mpaka vikumbusho 4
- Ujumbe 1 wa shukrani
- QR Code ya mgeni
- Uthibitisho wa RSVP
- Michango ya MKEKA
Gold Package
Kadi 301 - 2,000
- Mpaka vikumbusho 5
- Ujumbe 1 wa shukrani
- QR Code ya mgeni
- Uthibitisho wa RSVP
- Michango ya MKEKA
Upo tayari kwa sherehe yako ijayo bila stress?
Jiunge na mamia ya familia zilizofanya sherehe zao kuwa za kisasa, zilizopangwa vyema, na zenye kukumbukwa.
Hakuna gharama za kuchapa • Templates nzuri • Anza kwa dakika 5